Naibu rais Gachagua ataka madereva wa basi za shule kuwa waangalifu barabarani

  • | TV 47
    25 views

    Siku moja baada ya basi la shule ya upili ya wavulana ya Kapsabet kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Patkawanin kwenye barabara ya Kabarnet marigat Kaunti ya Baringo, Naibu wa Rais Rigathi Gachagua aliomboleza na wanafunzi hao na kuwataka madereva wa mabasi ya shule kuwa waangalifu.

    #TV47Wikendi

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __