Naibu rais Kindiki atangaza mikakati mipya ya kilimo cha kahawa

  • | Citizen TV
    188 views

    Serikali imetangaza mikakati mipya za kuboresha kilimo cha kahawa na kuongeza mapato kwa wakulima. Naibu rais kithure kindiki amesema taratibu za utoaji wa leseni za kusaga, kuuza na kubaini ubora wa kahawa zimebadilishwa ili kuwaondoa matapeli waliokuwa wakiwakandamiza wakulima kwa miaka mingi. Pia serikali imeahidi kupiga msasa zoezi la kuwapa wakulima mbolea za bei nafuu. Kindiki alikuwa akiwahutubia wakulima 12,000 wa kahawa eneo bunge la ndia, kaunti ya Kirinyaga.