Naibu rais Kindiki atoa wito wa umoja Kisii

  • | KBC Video
    28 views

    Naibu rais Prof. Kithure Kindiki amekariri haja kwa wakenya kujitahidi kuunganisha nchi hii kwa minajili ya ustawi. Akiongoza kundi la washirika wa muungano wa Kenya Kwanza kwenye hafla ya kuchangisha pesa kwa kwaya za kanisa la Pentecostal Assemblies of God huko Machongo, Gucha kusini katika kaunti ya Kisii naibu rais alisema kuwa ana jukumu la kuunganisha jamii za humu nchini na ataendelea kulitekeleza kwa kujitolea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive