- 497 viewsDuration: 1:38Naibu rais profesa kithure kindiki amewataka mabalozi wa kenya kulipigia debe taifa hili kama taifa salama na lenye fursa za uwekezaji akisema kuwa ni jukumu la mabalozi kuvutia wawekezaji na wageni nchini. Akizungumza wakati wa kufunga kongamano la 19 la mabalozi jijini nairobi, kindiki alibainisha kuwa kenya imepiga hatua kubwa kiuchumi