Skip to main content
Skip to main content

Nakuru: Serikali ya Kaunti wasipowajibika, tutaungana na kugoma kulipa ushuru

  • | TV 47
    4 views
    Duration: 5:14
    "Sina imani na Serikali ya Kaunti ya Nakuru, kwa kuwa inajulikana wazi kuwa ni miongoni mwa kaunti zisizo na dawa za kutosha katika hospitali zake, wala huduma bora kwa wafanyabiashara kote nchini Kenya. Hii ndiyo kaunti iliyochagua akina mama wengi, na gavana wake pia ni mwanamke. Hali hii inasikitisha na kukera mno. Iwapo hawatabadilisha mwenendo wao na kutumia fedha za kaunti kwa uwajibikaji na uadilifu, tutaungana na kukataa kulipa ushuru. Kaunti ikidorora, itaonekana wazi kwamba hawatekelezi majukumu yao ipasavyo." - Mkazi, Nakuru #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __