- 748 viewsDuration: 2:43Nani alijua nini? Hilo ndilo limekuwa swali kuu, linalozingira sakata ya uagizaji wa mafuta nje ya mpango wa serikali wa g-to-g. Licha ya maafisa wanne wakuu wa wizara kujiuzulu kwenye sakata hiyo, maswali yamesalia kuhusu je, ni kina nani wengine waliohusika.