Skip to main content
Skip to main content

Nauli zimepanda kutokana na bei ya juu ya mafuta

  • | Citizen TV
    3,125 views
    Duration: 1:35
    Nauli imeongezeka kwa safari zote , Kaunti ya Kitui baada ya bei ya mafuta kupanda jana usiku. Mwenyekiti wa matatu Mwingi, Mwendwa Musembei, amesema kuwa nauli imeongezeka kutoka Mwingi hadi Nairobi pamoja na njia nyingine zote. Hata hivyo amesema wakazi wanapinga bei hizo mpya, jambo linalofanya biashara ya uchukuzi kuwa ngumu kwao.