- 100,428 viewsDuration: 55sHalmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania CCM imeadhimia kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchini hiyo Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Nchimbi, alitangaza kujiuzulu nafasi ya Umakamu wa Rais na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma kupitia mtandao wa kijamii Agosti 25, 2026 ambapo baadaye Rais Samia suluhu Hassan aliridhia #bbcswahili #tanzania #CCM Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw