Skip to main content
Skip to main content

Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?

  • | BBC Swahili
    220,645 views
    Duration: 1:50
    Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kutoka nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na baadaye kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumemaliza kwa ghafla moja ya safari za kisiasa zilizokuwa zimefika kileleni mwa uongozi wa nchi. Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM na kuondoka wamechukua njia tofauti. Wengine waliingia upinzani na kuendelea kuwa na ushawishi, wengine walikaa nje ya chama kwa muda na baadaye wakarejea, huku wengine wakachagua kuachana na siasa. Kwa Nchimbi, kwa sasa kuna njia tatu zinazoweza kuonekana mbele yake @sammyawami anaelezea #bbcswahili #tanzania #makamuwarais Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw