Skip to main content
Skip to main content

NCIC kuzindua sera ya mwongozo ili kukomesha matamshi ya chuki na uchochezi mtandaoni

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 1:44
    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa imeanzisha mpango wa uangalizi kuhusu matumizi ya mtandao kueneza habari katika juhudi za kukomesha matamshi ya chuki, uchochezi na itikadi kali wakati taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive