Skip to main content
Skip to main content

NCIC yawataka Wakenya kushirikiana kuhakikisha uchaguzi wa 2027 unafanyika kwa amani

  • | Citizen TV
    42 views
    Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) imetoa wito kwa Wakenya na wadau mbalimbali kushirikiana kuhakikisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 unafanyika kwa amani bila ghasia.