Skip to main content
Skip to main content

Ndege 5 za kivita zenye kasi zaidi Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    107,234 views
    Duration: 1:46
    Unapotazama anga la Afrika Mashariki, kuna ushindani wa kimkakati unaoendelea kimya kimya juu yako. Nchi mbalimbali katika eneo hili zinawekeza katika ndege za kijeshi, marubani, mifumo ya ufuatiliaji, mafunzo na teknolojia kwa lengo la kulinda anga zao na kuimarisha uwezo wa kukabiliana na vitisho vya kiusalama. Kinachovutia ni kwamba hakuna mfumo mmoja unaotumiwa na kila nchi. Hivi ndivyo uwezo wa anga wa nchi tano za Afrika Mashariki unavyoonekana. @mariammjahid anafafanua zaidi #bbcswahili #afrikamshariki #ndegezakivita= Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw