- 6,103 viewsDuration: 21sTazama video ikionesha ndege ikitua kwa dharura kwenye barabara ya magari huko Florida, Marekani. Marubani wawili waliokuwa ndani ya ndege hiyo walikumbwa na hitilafu ya kiufundi na kujaribu kutua kwenye Barabara ya Bayshore katika eneo la North Fort Myers. Wakati wa kutua, ndege hiyo iligonga sehemu ya nyuma ya gari la kubebea mizigo. Hakuna mtu aliyeripotiwa kujeruhiwa, kwa mujibu wa ofisi ya sherrif. #bbcswahili #Marekani #ajaliyandege https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw