Skip to main content
Skip to main content

Ndege yaanguka juu ya gari

  • | BBC Swahili
    13,505 views
    Duration: 57s
    Tazama ndege ikianguka juu ya gari wakati wa msongamano wa magari huko Florida. Dereva wa gari hilo ni mwanaume mwenye umri wa miaka 57, alipelekwa hospitalini akiwa na majeraha madogo. Rubani wa ndege hiyo na abiria wake hawakuumia. - - #ajali #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw