Skip to main content
Skip to main content

''Ndio Tanzania imeshindwa lakini tunajiandaa kushinda mechi ijayo dhidi ya Uganda'' #afcon2025

  • | BBC Swahili
    2,489 views
    Duration: 1:40
    "Huu mchezo tayari umepita, kuna makosa ambayo tulifanya na mwalimu tayari ameyaona na tutayafanyia kazi' - Haya ni baadhi ya maoni ya wachezaji wa timu ya Taifa Stars ya Tanzania punde baada ya mechi ya ufunguzi katika fainali za AFCON2025 Morocco dhidi ya Super Eagles ya Nigeria. - 'Hayo yalikuwa matokeo ya mechi ya kwanza.Tutajipanga dhidi ya Uganda na Tunisia' - Tanzania sasa inahitaji kushinda mechi yake ijayo dhidi ya Uganda, na kisha Tunisia iliijiweke katika nafasi nzuri ya kufuzu kwa raundi ya pili. Uganda kwa upande wao walipigwa 2-0 mikononi mwa vinara wa kundi hilo Tunisia. - - - #bbcswahili #taifastars ##foryou #morocco2025 #tanzania #AFCON Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw