NEMA yazindua kampeni ya siku-100 kusaka kampuni zinazotupa uchafu kiholela nchini

  • | KBC Video
    12 views

    Halmashauri ya utunzi wa mazingira-NEMA imezindua kampeni ya siku-100 ya kusaka kampuni na taasisi zinazomimina uchafu kiholela na kuchafua mazingira kote nchini. Wafanyibiashara saba huko Mombasa tayari wamenaswa kufuatia msako huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News