Skip to main content
Skip to main content

NG-CDF yatumiwa kujenga madarasa samburu mashariki

  • | Citizen TV
    385 views
    Duration: 3:23
    Hazina ya NG-CDF inaendelea kubadili maeneo yaliyotengwa na kusalia nyuma kimaendeleo hususan maeneo ya wafugaji hasa katika ujenzi wa madarasa. Shule ya wasichana ya UASO samburu mashariki, ikiwa shule moja wapo iliyofadhiliwa na NGCDF na sasa inatoa nafasi kwa wasichana wafugaji kukata kiu ya elimu. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.