- 152 viewsDuration: 3:29Hazina ya NG-CDF inaendelea kubadili maeneo yaliyotengwa na kusalia nyuma kimaendeleo hususan maeneo ya wafugaji hasa katika ujenzi wa madarasa. Shule ya wasichana ya UASO samburu mashariki, ikiwa shule moja wapo iliyofadhiliwa na NGCDF na sasa inatoa nafasi kwa wasichana wafugaji kukata kiu ya elimu.