Ng'ombe walioibwa siaya wapatikana Luanda

  • | Citizen TV
    351 views

    Njama ya kusafirisha mifugo walioibwa ilitibuliwa mapema leo baada ya mshukiwa mmoja wa wizi kukamatwa na polisi waliokuwa wakishika doria kwenye barabara kuu ya Busia – Kisumu