- 6,730 viewsDuration: 45sMatangazo ya moja kwa moja ya televisheni yamenasa tukio la wabunge wa Armenia wakipigana ngumi bungeni kufuatia mabishano makali yaliyozuka kati ya wabunge wawili. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani, vurugu hizo zilisababisha usumbufu mkubwa ndani ya bunge. Sababu kamili ya mzozo huo bado haijawekwa wazi, lakini tukio hilo limeibua mjadala kuhusu mwenendo na nidhamu ya viongozi wa kisiasa ndani ya bunge la Armenia. - - #bbcswahili #bunge #ugomvi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw