Skip to main content
Skip to main content

Ni afueni kwa wakulima nchini baada ya meli ya mbolea kutia nanga katika bandari ya Mombasa

  • | Citizen TV
    432 views
    Duration: 2:04
    Ni afueni kwa wakulima nchini baada ya meli iliyobeba magunia milioni mbili ya mbolea kutia nanga katika bandari ya Mombasa. viongozi wa serikali wamesema kuwa licha ya changamoto ya usafiri inayoshuhudiwa katika milki ya kiarabu, serikali imejikakamua na kuhakikisha wakulima wamepokea mbolea. Meli hiyo kwa sasa bado inaendelea kupakuliwa shehena hiyo kabla ya magunia hayo kupelekwa katika vituo vya kusambaza mbolea katika maeneo mbali mbali nchini.