- 5,259 viewsDuration: 2:42Nani alijua nini? Hilo ndilo limekuwa swali kuu, linalozingira sakata ya uagizaji wa mafuta nje ya mpango wa serikali wa G-to-G. Licha ya maafisa wanne wakuu wa wizara kujiuzulu kwenye sakata hiyo, maswali yamesalia kuhusu je, ni kina nani wengine waliohusika. Mwanahabari wetu Emmanuel Too anatupa mtiririko wa stakabadhi unaonyesha kwamba wakuu serikalini, haswa katika wizara ya Kawi na Petroli, walikuwa wameelezwa kuhusu uagizaji wa mafuta hayo.