- 40,135 viewsDuration: 59sUtafiti wa Jiolojia wa Marekani unasema mafuriko katika mpaka wa Nepal na Tibet yalisababishwa na "kuporomoka kwa barafu" ikimaanisha kuwa barafu au sehemu ya barafu ilimeguka. Ripoti za awali ziliwafanya mamlaka kuamini kwamba tetemeko la ardhi ndilo lililokuwa chanzo. Chanzo cha kuanguka kwa barafu hakijabainishwa, lakini wanasayansi wameonya kwamba barafu za Himalaya zinayeyuka kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa halijoto na mabadiliko ya hali ya hewa. #bbcswahili #tibet #nepal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw