Skip to main content
Skip to main content

Niffer na wenzake wafikishwa mahakamani

  • | BBC Swahili
    9,181 views
    Duration: 33s
    Watuhumiwa wa kesi ya uhaini akiwemo mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania ‘Niffer’ wamefikishwa mahakamani leo Watuhumiwa hawa ambao wamefikishwa Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam, walikamatwa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29. - - #bbcswahili #tanzania #siasa #maandamano #uchaguzimkuu2025