Skip to main content
Skip to main content

"Nilizaliwa nikiwa kawaida mara ghafla nikawa siwezi kuongea kawaida"

  • | BBC Swahili
    2,649 views
    Duration: 5:48
    Hebu fikiria umezaliwa na kukua kama mtoto mwingine yeyote. Kisha siku moja, maneno yanaanza kutoka kwa taabu. Kila sentensi inahitaji muda zaidi, kila neno linahitaji juhudi zaidi kusikika. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Maryann Wangari, ambaye alianza kupata changamoto ya kuzungumza akiwa mtu mzima. Katika Waridi wa BBC, amezungumza na mwanahabari Asha Juma kuhusu safari yake ya maisha, changamoto alizokutana nazo na matumaini yanayompa nguvu kila siku. - - #bbcswahili #waridiwabbc #kenya #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw