'Nimepita milimani usiku nikiwa na binti yangu mdogo'

  • | BBC Swahili
    473 views
    Miezi mitatu iliyopita, Sima Moradbeygi mwenye umri wa miaka 26 alitoroka Iran na binti yake wa miaka 3 kwa kutembea kwa miguu kwenye njia za hatari na za siri kwenda kutafuta hifadhi huko Kurdistan, Iraq. Sima alipigwa risasi na kujeruhiwa wakati wa maandamano makubwa ya Iran mwaka jana. #bbcswahili #iran #iraq