- 10,823 viewsDuration: 1:59Alice Mbere, 27, kutoka nchini Kenya, alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka mitano wazazi wake walibaini kuwa hana urefu wa kawaida na kuanza kutafuta ushauri kupitia madaktari tofauti. Alice ana urefu wa sentimita 85 pekee na mmoja kati ya watu wafupi zaidi nchini Kenya. Je, kimo chake kimekuwa na changamoto zipi? Alimsimulia Hamida Abubakar katika Waridi wa BBC. Kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidi tembelea YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #kenya #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
