Skip to main content
Skip to main content

“Nitamkamata mhalifu Odrek na kurudisha amani kwa wananchi wetu.”

  • | BBC Swahili
    151,957 views
    Duration: 1:51
    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametishia kumkamata shemeji yake, Odrek Rwabwogo. Muhoozi ametangaza kuifuta kamati ya mauzo ya nje ya PACEID anayoongoza Rwabwogo, akidai ni ya kifisadi na kuahidi kumkamata hivi karibuni. Je hatua hii imefikaje hapa? @mrs.tadicha anaelezea #bbcswahili #uganda #JeneraliMuhoozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw