Skip to main content
Skip to main content

Nyama ya punda yanaswa Kimuka huko Kajiado Kaskazini

  • | Citizen TV
    136 views
    Duration: 1:25
    Washukiwa watatu wamekamatwa na maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kibiku, Kajiado Magharibi, huku lori walilokuwa wakilitumia kusafirisha nyama inayokisiwa kuwa ya punda likiteketezwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Kimuka.