Skip to main content
Skip to main content

Nyanya zinavyoanikwa msimu wa kilimo Uturuki

  • | BBC Swahili
    4,101 views
    Duration: 42s
    Picha zilizopigwa na ndege isiyo na rubani (drone) zinaonyesha maelfu ya nyanya zikiwa zimeanikwa juani kusini-mashariki mwa Uturuki kabla ya kusafirishwa nje ya nchi. Wakulima katika mkoa wa Diyarbakir husafirisha kwa kiasi kikubwa nyanya hizo kwenda Ulaya, ambako hutumiwa kutengeneza rojo la kwenye pizza na vyakula vingine. Wafanyakazi hutumia siku kadhaa chini ya jua kali wakitayarisha nyanya hizo kwa ajili ya kukaushwa. #bbcswahili #uturuki #nyanya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw