Nyumba yenye umbo la kamera yawa kivutio

  • | BBC Swahili
    545 views
    Kutana na Ravi Hongal kutoka India ambaye amejenga nyumba yenye muonekano wa kamera kutokana na mapenzi makubwa aliyonayo katika Kamera. Ravi Hongal na familia yake wanajulikana sana katika jimbo la kusini-magharibi mwa India la Karnataka kwa kuishi maisha yao wakitegemea kamera Mpiga picha huyo pia amewaita watoto wake watatu majina ya kamera kama Canon, Nikon na Epson chapa maarufu za kamera. #bbcswahili #india #kamera