Nyumba za kulea wazee kenya: "Wanatelekezwa hadi kufa"

  • | BBC Swahili
    2,504 views
    BBC Africa Eye imefanya uchunguzi juu ya madai ya kushambuliwa, wizi na kutelekezwa kwa wazee wanaoishi kwenye nyumba za kulea wazee nchini Kenya. Kote barani Afrika, wazee wamekuwa wakitunzwa na familia zao. Sasa, kufuatia kuongezeka kwa umri wa kuishi kwa miaka kumi zaidi katika miongo miwili iliyopita, Waafrika wengi wanageukia nyumba za kulea wazee ili kupata msaada. - Je wazee wanapata malezi yanayohitajika? BBC Africa Eye imefanya uchunguzi katika nyumba ya kulea wazee nchini Kenya ili kuangalia madai ya kushambuliwa, wizi na kutelekezwa kama yanatokea. #bbcswahili #kenya #bbcafricaeye