- 3,344 viewsDuration: 3:25Aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na washukiwa wenzake wawili watajua hatma yao Novemba mwaka huu, mahakama itakapotoa hukumu katika kesi ya mauaji ya Sharon Otieno. Familia ya marehemu Sharon Otieno imeiomba mahakama imsikumu Obado kifungo cha nje ya gereza, ikisema ameonyesha majuto makubwa na yuko tayari kusaidia kuwalea na kuwasomesha watoto wa Sharon.