Skip to main content
Skip to main content

Obiero na Oduor wajiunga na Harambee Stars nchini Rwanda

  • | Citizen TV
    332 views
    Duration: 1:15
    Kocha wa timu ya taifa Harambee Stars Benni McCarthy amepata wachezaji wa ziada katika safu ya ushambulizi baada ya kujumuishwa kwa Zechariah Nahum Obiero na Clarke Oduor katika timu hiyo nchini Rwanda. Wawili hao waliachwa nyuma Nairobi walipokuwa wakisubiri pasipoti zao mpya za Kenya.