17 Jan 2026 7:46 pm | Citizen TV 1,432 views Duration: 1:35 Kinara wa chama cha ODM Oburu Odinga Na viongozi wengine wa chama hicho wamesistiza kuwa wako radhi kufanya mazungumzo mapya na chama tawala cha UDA na kuwaunganisha wanachama wote.