Skip to main content
Skip to main content

ODM yataka chungwa liheshimiwe huku uhusiano na UDA ukidorora

  • | Citizen TV
    14,209 views
    Duration: 2:18
    Chama cha ODM sasa kinadai kuwa wenzao katika UDA wanakikosea chama cha chungwa heshima na kuwataka wakome. katika mkutano wa kamati simamizi ya chama hicho, odm inadai kuwa baadhi ya viongozi wa uda wamekuwa wakitoa matamshi yasiyofaa dhidi ya viongozi wa odm hatua ambayo imezua hali tete miongoni mwa vyama hivyo.