Skip to main content
Skip to main content

ODM yawataka wafuasi kuwa na subira kuhusu mazungumzo na UDA

  • | Citizen TV
    2,191 views
    Duration: 1:07
    Viongozi wa chama cha ODM wamewataja wafuasi wake kuwa na subira huku mazungumzo ya maelewano yakiendelea kati yao na UDA. Kwenye kikao na wanahabari hapa Nairobi, wanachama wasimamizi wa ODM wakiongozwa na Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi wamesema wataendelea kumuunga mkono Rais William Ruto kabla ya ripoti ya kamati maalum iliyobuniwa kutolewa.