Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtata ameapa kuelekea mahakamani, kupinga mswada wa fedha 2026/2027 kwa kile amekitaja kama kuwa mswada huo una nia fiche ya kunufaisha watu fulani serikalini kwa gharama ya mkenya.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya