Skip to main content
Skip to main content

Ombi la rastafari kutumia bangi katika ibada Kenya lapingwa

  • | BBC Swahili
    27,742 views
    Duration: 1:07
    Mahakama yakataa ombi la Jumuiya ya rastafari kutumia bangi katika ibada, ikisema marufuku ya dawa hiyo nchini haikiuki haki za kikatiba. Mwandishi wa BBC @akisawandera na taarifa hii: - - #bbcswahili #bangi #dawazakulevya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw