Skip to main content
Skip to main content

Osotsi ang’olewa ODM, Oburu Oginga atawazwa kinara

  • | Citizen TV
    8,514 views
    Duration: 4:01
    Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi ametimuliwa kama naibu kinara wa chama cha ODM. Kwenye mkutano maalum wa wajumbe wa chama cha chungwa, katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna aliponea shoka huku chama hicho kikitangaza kuanza mchakato wa kuwaadhibu waasi. Dkt. Oburu Oginga aliidhinishwa rasmi kuwa kinara wa chama hicho.