- 3,632 viewsDuration: 42sMajid Batebi, mchunguzi wa mazingira kutoka Iran, ametoa picha adimu za paka pori asiyeonekana kwa urahisi kutokana na tabia yake ya kujificha. Paka wa Pallas wanatokea Asia ya Kati na ni wakubwa kidogo kuliko paka wa kufugwa, wakiwa na urefu wa mwili wa takribani sentimita 60, mkia wa sentimita 25 na uzito wa karibu kilo 3.5. Paka huyo alinaswa kwenye kamera ya mtego #bbcswahili #wanyama #pakapori Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw