Skip to main content
Skip to main content

Panga boys wahangaisha Lamu

  • | Citizen TV
    7,718 views
    Duration: 3:14
    Kijana mmoja ameuwawa kwa kudungwa Kisu huku vijana sita wakiendelea kuuguza majeraha mabaya mwilini baada ya kushambuliana kwa mapanga huko Lamu.