- 48,623 viewsDuration: 2:00Oktoba 19, 2026, Paul Mackenzie, aliyekuwa mchungaji nchini Kenya, alipatikana na hatia ya mauaji ya watoto 190 na mtu mzima mmoja. Sasa Hukumu hii imefikaje hapa? Agnes Penda anaelezea kwa kina Kufahamu aliwezaje kuwashawishi watu wengi kufuata mafundisho yake hadi kupoteza maisha? Tazama video kamili kwenye YouTube ya BBC Swahili. #bbcswahili #kenya #shakahola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw