- 5,025 viewsDuration: 5:20Mhubiri wa dhehebu hatari nchini Kenya, Paul Nthenge Mackenzie, na wafuasi wake 28 wamepatikana na hatia ya mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika uamuzi wa kihistoria uliotolewa na Mahakama Kuu ya Mombasa mnamo Oktoba 19, 2026. Mauaji hayo yanahusiana na maafa ya msitu wa Shakahola, ambapo mamia ya watu walifunga kula hadi kufa kwa madai ya kutaka "kukutana na Yesu" kabla ya kiama. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw