- 26,735 viewsDuration: 3:40Tukisalia kwenye suala la uvamizi wa All Saints' Cathedral Nairobi, picha za CCTV zilinasa matukio ya vurugu yaliyotokea mara mbili ndani ya saa mbili katika kanisa hilo. Kundi la wahuni waliovamia eneo hilo lilinaswa likiwapora baadhi ya waliokuwapo. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu hali ya usalama na madai ya kuchelewa au kutotosha kwa hatua za kudhibiti vurugu.