- 14,125 viewsDuration: 2:45Ni pigo kwa katibu mkuu w achama cha ODM Edwin Sifuna baada ya Jopo la kutatua mizozo ya vyama vya kisiasa kuagiza mgogoro w akiti cha katibu mkuu wa chama hicho utatuliwe kupitia mikakati ya utatuzi wa mizozo ya chama hicho. Haya yanajiri wakati ambapo mirengo miwili ya chama cha ODM imepanga mikutano tofauti siku ya ijumaa jijini Nairobi. Mrengo wa Linda ground umeandaa mkutano mkuu w awajumbe huku ule wa Linda mwananchi ukiandaa mkutano mbadala