Skip to main content
Skip to main content

Polisi afyatua risasi hewani kuwatawanya wakazi Kituo cha Kanduyi, Bungoma

  • | Citizen TV
    1,682 views
    Duration: 1:55
    Kizaazaa kilizuka katika kituo cha Polisi cha Sang'alo eneobunge la Kanduyi huko Bungoma baada ya afisa wa polisi kufyatua risasi hewani kuwatawanya wakazi waliokuwa wakiandamana kulalamikia utovu wa usalama. Hii ni baada ya Mlinzi mmoja kuuawa na wengine watatu kujeruhiwa na wahuni..