Polisi atoroka baada ya kuwapiga risasi wanawake wawili

  • | Citizen TV
    3,900 views

    Polisi huko Kanonyoo eneo la yatta kaunti ya kitui wanamsaka mwenzao anayedaiwa kuwauwa wanawake wawili kwa kuwapiga risasi