12 May 2026 1:24 pm | Citizen TV 939 views Duration: 1:35 Watu wawili wametiwa mbaroni na maafisa wa polisi wanaopiga doria mipakani katika eneo la Kanyonyoo kaunti ya Kitui wakisafirisha tani 16 za ngozi za punda kwa lori.