- 85 viewsWatu wawili wamekamatwa huku lita 230 za kemikali aina ya ethanoli na lita ishirini za pombe aina ya chang’aa, kunaswa katika operesheni iliyofanyika jumapili jioni katika eneo la Murogi – Free Area na mwariki eneo bunge la Nakuru Mashariki. Waliokamatwa ni wagema wawili mama na mwanawe wa kiume, waliofumaniwa nyumbani kwao katika eneo la Murogi